Mwimbaji : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 57 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q177220 (translate me)
No edit summary
Tags: Hariri ya simu Mobile app edit
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mwimbaji''' ni mtu [[kuimba|anayeimba]]. Mtu yeyote anayeimba ni mwimbaji. Kuna baadhi ya watu hufanya kuimba kama kazi ya kujipatia ridhiki, na kuna wengine huimba bila kulipwa (kwa [[Kiing.]] wanawaita '''amateur singer''').
'''Mwimbaji''' ni mtu [[kuimba|anayeimba]]. Mtu yeyote anayeimba ni mwimbaji. Kuna baadhi ya watu hufanya kuimba kama kazi ya kujipatia ridhiki, na kuna wengine huimba bila kulipwa (kwa [[Kiingereza.]] wanawaita '''amateur singer''').


Waimbaji wanaweza kuimba kitu chochote kile: nyimbo, [[opera]] n.k. Wanawezekana wakawa wanasindikizwa na ala za muziki au bendi za muziki. Kuna baadhi ya waimbaji pia hupiga vyombo vya muziki kama vile [[piano]], [[gitaa]], au [[zeze la kizungu]] (wanajiongoza wenyewe). Kuimba ni muhimu katika [[filamu]] makumbi ya maonyesho.
Waimbaji wanaweza kuimba kitu chochote kile: nyimbo, [[opera]] n.k. Wanawezekana wakawa wanasindikizwa na ala za muziki au bendi za muziki. Kuna baadhi ya waimbaji pia hupiga vyombo vya muziki kama vile [[piano]], [[gitaa]], au [[zeze la kizungu]] (wanajiongoza wenyewe). Kuimba ni muhimu katika [[filamu]] makumbi ya maonyesho.

==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==



Pitio la 17:48, 29 Machi 2016

Mwimbaji ni mtu anayeimba. Mtu yeyote anayeimba ni mwimbaji. Kuna baadhi ya watu hufanya kuimba kama kazi ya kujipatia ridhiki, na kuna wengine huimba bila kulipwa (kwa Kiingereza. wanawaita amateur singer).

Waimbaji wanaweza kuimba kitu chochote kile: nyimbo, opera n.k. Wanawezekana wakawa wanasindikizwa na ala za muziki au bendi za muziki. Kuna baadhi ya waimbaji pia hupiga vyombo vya muziki kama vile piano, gitaa, au zeze la kizungu (wanajiongoza wenyewe). Kuimba ni muhimu katika filamu makumbi ya maonyesho.

Viungo vya nje


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwimbaji kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.