Nishati : Tofauti kati ya masahihisho
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q11379 (translate me) |
|||
Mstari 21: | Mstari 21: | ||
== Nadharia Juu Ya Nishati == |
== Nadharia Juu Ya Nishati == |
||
Fizikia hueleza nishati na tabia zake kimaumbile na msababisho kimatukio. Nayo |
Fizikia hueleza nishati na tabia zake kimaumbile na msababisho kimatukio. Nayo hutaja kama nadharia; kufafanua mienendo. |
||
=== Ufafanuzi === |
=== Ufafanuzi === |
||
Ni nguvu iwezeshayo kazi kufanyika. |
Ni nguvu iwezeshayo kazi kufanyika. |
||
Kazi, kifizikia; ni kitendo kinachohusisha mabadilishano ya namna moja ya nishati hadi |
Kazi, kifizikia; ni kitendo kinachohusisha mabadilishano ya namna moja ya nishati hadi nyingine ama pia kubadili hali ya kimaumbile na nafasi. Kwa mfano, kusogeza kiti ni kazi inayojidhihirisha kwa kuhamisha kiti toka nukta moja hadi nyingine. |
||
Kizio cha kazi ni ''Juli''. |
Kizio cha kazi ni ''Juli''. |
||
Tathmini ya kihesabu ya kazi kulingana na nishati kifizikia hukokotolewa kwa thamani ya ''Juli'' na kadhaa. |
|||
Mstari 55: | Mstari 55: | ||
Hii ni kanuni inayo elezea mbadilishano wa nishati kutoka hali moja hata nyingine; nayo inasema: |
Hii ni kanuni inayo elezea mbadilishano wa nishati kutoka hali moja hata nyingine; nayo inasema: |
||
''Nishati haiwezi kujengwa wala kubomolewa bali hubadilika kutoka hali moja |
''Nishati haiwezi kujengwa wala kubomolewa bali hubadilika kutoka hali moja hadi nyingine.'' |
||
Hii ni kusema kuwa, kiasi cha nishati kitumikacho kufanya kazi huwa sawa sawa na kiasi cha kazi kiutathmini. Hivyo kama kitendo kinaweza kurudishwa kilikotekea, kiasi kile kile cha nishati itapatikana. |
Hii ni kusema kuwa, kiasi cha nishati kitumikacho kufanya kazi huwa sawa sawa na kiasi cha kazi kiutathmini. Hivyo kama kitendo kinaweza kurudishwa kilikotekea, kiasi kile kile cha nishati itapatikana. |
||
Vile vile nishati inaposababisha tukio ambalo nishati za aina |
Vile vile nishati inaposababisha tukio ambalo nishati za aina nyingine kutukia, basi kiasi cha tathmini yake ni sawa sawa na nishati iliyosababisha. |
||
'''Mifumo perepetua ya kimakanika''' |
'''Mifumo perepetua ya kimakanika''' |
||
Mfano wa kanuni hii unaonekana kwenye bembea kama ile kwenye saa ya ukutani ya kimakanika. Jiwe la kuning'inia linapofika usawa wa juu kabisa; huwa na nishati uweza ya juu kabisa. Halafu Nishati Mwenendo huwa ni sifuri pale linapokuwa limesimama kabla ya kubembea na |
Mfano wa kanuni hii unaonekana kwenye bembea kama ile kwenye saa ya ukutani ya kimakanika. Jiwe la kuning'inia linapofika usawa wa juu kabisa; huwa na nishati uweza ya juu kabisa. Halafu Nishati Mwenendo huwa ni sifuri pale linapokuwa limesimama kabla ya kubembea na kurudi chini. Katika hali ya wima kabisa, nishati uweza huwa ni sifuri na wakati nishati mwenendo huwa juu kabisa. Na hivyo kufanya mabadilishano ya Nishati Uweza na Nishati Mwenendo vinavyohusiana katika mifumo ya kazi za kimakanika. |
||
'''Changamoto ya Nadharia ya Uhifadhi Sawia wa Nishati''' |
'''Changamoto ya Nadharia ya Uhifadhi Sawia wa Nishati''' |
Pitio la 13:15, 30 Mei 2015
Nishati inamaanisha uwezo wa kufanya kazi na kusababisha mabadiliko. Katika sayansi nishati hupimwa kwa kipimo cha SI joule.
Katika sayansi lina mtizamo wa kipekee.
Aina Za Nishati
Hutokana na asili au chanzo chake. Zifuatazo ni Baadhi yake:-
Makundi ya Nishati
Nishati kuwekwa katika makundi kulingana na matumizi ya mwanadamu na ukubwa wa uhitaji wake katika sura ya kijamii halafu pia na aina ya matumizi.
Nadharia Juu Ya Nishati
Fizikia hueleza nishati na tabia zake kimaumbile na msababisho kimatukio. Nayo hutaja kama nadharia; kufafanua mienendo.
Ufafanuzi
Ni nguvu iwezeshayo kazi kufanyika.
Kazi, kifizikia; ni kitendo kinachohusisha mabadilishano ya namna moja ya nishati hadi nyingine ama pia kubadili hali ya kimaumbile na nafasi. Kwa mfano, kusogeza kiti ni kazi inayojidhihirisha kwa kuhamisha kiti toka nukta moja hadi nyingine.
Kizio cha kazi ni Juli.
Tathmini ya kihesabu ya kazi kulingana na nishati kifizikia hukokotolewa kwa thamani ya Juli na kadhaa.
Hali Kuu Mbili
Hujidhihirisha katika sura mbili na kutathminiwa hivi:
- Nishati Uweza
- Nishati Mwendeko
Nishati Uweza
Hii ni hali ya kiutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi ama kuleta zao fulani la kikazi katika wakati ambao tukio halisi halijatendeka. K.m. jiwe juu ya kigingi cha mlima kabla halijadondoka lina tathmini ya uwezo wa nguvukazi sawa na mara litakapofika chini wakati wa kudondoka.
Nishati Mwendeko
Hii ni hali ya kiutathmini uwezo wa nishati kufanya kazi endelevu kiwakati. K.m. Jiwe lililorushwa lina nguvukazi alhali likipea.
Kanuni ya Uhifadhi Sawia Wa Nishati
Hii ni kanuni inayo elezea mbadilishano wa nishati kutoka hali moja hata nyingine; nayo inasema:
Nishati haiwezi kujengwa wala kubomolewa bali hubadilika kutoka hali moja hadi nyingine.
Hii ni kusema kuwa, kiasi cha nishati kitumikacho kufanya kazi huwa sawa sawa na kiasi cha kazi kiutathmini. Hivyo kama kitendo kinaweza kurudishwa kilikotekea, kiasi kile kile cha nishati itapatikana.
Vile vile nishati inaposababisha tukio ambalo nishati za aina nyingine kutukia, basi kiasi cha tathmini yake ni sawa sawa na nishati iliyosababisha.
Mifumo perepetua ya kimakanika
Mfano wa kanuni hii unaonekana kwenye bembea kama ile kwenye saa ya ukutani ya kimakanika. Jiwe la kuning'inia linapofika usawa wa juu kabisa; huwa na nishati uweza ya juu kabisa. Halafu Nishati Mwenendo huwa ni sifuri pale linapokuwa limesimama kabla ya kubembea na kurudi chini. Katika hali ya wima kabisa, nishati uweza huwa ni sifuri na wakati nishati mwenendo huwa juu kabisa. Na hivyo kufanya mabadilishano ya Nishati Uweza na Nishati Mwenendo vinavyohusiana katika mifumo ya kazi za kimakanika.
Changamoto ya Nadharia ya Uhifadhi Sawia wa Nishati
Kanuni hii katika nyanja ya kifizikia imefika njia panda baada ya mifumo mpya wa uzalishaji nishati kugunduliwa.