Joto ya Jua

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfumo wa jua wa ukusanyaji maji

Mtambo huu hutega mionzi ya jua ili kupasha maji moto. Teknolojia za hita ya maji za nishati ya jua (Solar water heater systems "SWHs") zimeenea duniani kote.

Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joto ya Jua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.