Kimalay : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kimalay''' ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia, Indonesia na Singapuri inayozungumzwa na Wamalay. Ni lugha y...'
 
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
Mstari 4: Mstari 4:
*[http://multitree.org/codes/zlm lugha ya Kimalay kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/zlm lugha ya Kimalay kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/zlm.html ramani ya Kimalay]
*[http://llmap.org/languages/zlm.html ramani ya Kimalay]
*[http://www.language-archives.org/language/zlm makala za OLAC kuhusu Kimalay]
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/mala1479 lugha ya Kimalay katika Glottolog]
*[http://www.ethnologue.com/language/zlm lugha ya Kimalay kwenye Ethnologue]
*[http://www.ethnologue.com/language/zlm lugha ya Kimalay kwenye Ethnologue]



Pitio la 20:38, 24 Machi 2015

Kimalay ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia, Indonesia na Singapuri inayozungumzwa na Wamalay. Ni lugha ya mawasiliano kwa wengi, tofauti na Kimalay Sanifu ambayo ni lugha rasmi nchini Malaysia. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kimalay nchini Malaysia imehesabiwa kuwa watu milioni kumi na nusu. Pia kuna wasemaji milioni 4.91 nchini Indonesia (2000) na wasemaji 414,000 nchini Singapuri (2010). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimalay iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalay kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.