Wilaya ya Kibaha Vijijini : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Tanzania Kibaha location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Kibaha (kijani) katika [[mkoa wa Pwani]].]]
[[Picha:Tanzania Kibaha location map.svg|thumb|250px|Mahali pa Kibaha (kijani) katika [[mkoa wa Pwani]].]]
'''Wilaya ya Kibaha''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Pwani]]. Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 132,045 [http://web.archive.org/web/20031217230735/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kibaha.htm].
'''Wilaya ya Kibaha vijijini''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Pwani]]. Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 132,045 [http://web.archive.org/web/20031217230735/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kibaha.htm].


Mwaka 2012 sehemu za [[Wilaya ya Kibaha mjini]] zilitengwa katika wilaya hii na kuwa wilaya ya pekee.
Kati ya vijiji vingi vya wilaya kuna [[Mailimoja]], [[Mwanalugali]], [[Boko Bungo]], [[Kwa Mathiasi]], [[Msangani]], [[Nyumbu]], [[Picha ya Ndege]], [[Kwambonde]], [[Kibondeni]], [[Tanita]], [[Mwendapole]], [[Kwa Mfipa]], [[Miembe 7]], [[Kongowe]], [[Visiga]], [[Misugusugu]], [[Mlandizi]] na [[Ruvu]].


==Marejeo==
==Marejeo==

Pitio la 09:28, 22 Machi 2015

Mahali pa Kibaha (kijani) katika mkoa wa Pwani.

Wilaya ya Kibaha vijijini ni wilaya moja ya Mkoa wa Pwani. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 132,045 [1].

Mwaka 2012 sehemu za Wilaya ya Kibaha mjini zilitengwa katika wilaya hii na kuwa wilaya ya pekee.

Marejeo

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kibaha Vijijini kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Kata za Wilaya ya Kibaha Vijijini - Mkoa wa Pwani - Tanzania

Bokomnemela | Dutumi | Gwata | Janga | Kawawa | Kikongo | Kilangalanga | Kwala | Magindu | Mlandizi | Mtambani | Mtongani | Ruvu | Soga