Kilamnso' : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d ki- --> i- using AWB
d →‎Viungo vya nje: +viungo vya OLAC na Glottolog using AWB
Mstari 4: Mstari 4:
*[http://multitree.org/codes/lns lugha ya Kilamnso' kwenye Multitree]
*[http://multitree.org/codes/lns lugha ya Kilamnso' kwenye Multitree]
*[http://llmap.org/languages/lns.html ramani ya Kilamnso']
*[http://llmap.org/languages/lns.html ramani ya Kilamnso']
*[http://www.language-archives.org/language/lns makala za OLAC kuhusu Kilamnso']
*[http://glottolog.org/resource/languoid/id/lamn1239 lugha ya Kilamnso' katika Glottolog]
*http://www.ethnologue.com/language/lns
*http://www.ethnologue.com/language/lns



Pitio la 07:56, 19 Machi 2015

Kilamnso' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Walamnso'. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kilamnso' imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamnso' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamnso' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.