Afya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 13: Mstari 13:
=== Marejeo ===
=== Marejeo ===
<references />[[:Jamii:Afya]]
<references />[[:Jamii:Afya]]

==Viungo vya Nje==
{{Wiktionary|Health}} {{Wikiquote|Health}}
* [http://www.who.int World Health Organization]
* [http://www.nhs.uk UK National Health Service]
* [http://stats.oecd.org/Index.aspx?DataSetCode=HEALTH OECD Health Statistics]
* [http://ucblibraries.colorado.edu/govpubs/us/health.htm Health and Medical Information] from the University of Colorado

Pitio la 12:36, 15 Machi 2015

Stempu ya posta ya [[New Zealand]], mnamo mwaka 1933

Afya ni hali ya kujisikia nzuri kimwili na kiroho bila kusumbuliwa na ugonjwa. Sawa na swali la ugonjwa hakuna elezo kamili kuhusu hali ya afya.

Fafanuzi za afya

  • Shirika la Afya Duniani (WHO) lilitoa ufafanuzi ufuatao: "Afya ni hali ya ustawi kamili kimwili, kiroho na kijamii na zaidi ya kukosa ugonjwa." [1]
  • Mwanafalsafa Friedrich Nietzsche : "Afya ni kiwango hiki cha ugonjwa kinachoniruhusu kutekeleza shughuli zangu muhimu"
  • Mwanasosholojia Talcott Parsons: „Afya ni hali ya mtu kuwa na uwezo bora wa kutekeleza shughuli alizofundishwa kukubali kama wajibu wake."

Kwa watu wengi ni hali ya kutosumbuliwa na maumivu na udhaifu pamoja na uwezo wa kutumia sehemu zote za mwili. Ni wazi ya kwamba hisia hii ni tofauti kati ya mtu na mtu.

Marejeo

  1. http://www.who.int/bulletin/archives/80(12)981.pdf ''WHO definition of Health''

Jamii:Afya

Viungo vya Nje

Simple English Wiktionary
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu: