Wilaya ya Njombe : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q846037 (translate me)
d fixing dead links
Mstari 2: Mstari 2:
'''Wilaya ya Njombe''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Njombe]] ulioanzishwa mnamo Machi [[2012]] kwa kumega [[mkoa wa Iringa]] upande wa kusini.
'''Wilaya ya Njombe''' ni wilaya moja ya [[Mkoa wa Njombe]] ulioanzishwa mnamo Machi [[2012]] kwa kumega [[mkoa wa Iringa]] upande wa kusini.


Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/njombe.htm].
Katika [[sensa]] ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [http://web.archive.org/web/20031228054848/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/njombe.htm].


[[Makao makuu]] ya wilaya na ya mkoa yapo [[Njombe Mjini]].
[[Makao makuu]] ya wilaya na ya mkoa yapo [[Njombe Mjini]].

Pitio la 23:53, 26 Agosti 2014

Mahali pa Njombe (kijani) katika mkoa wa Iringa kabla ya umegaji.

Wilaya ya Njombe ni wilaya moja ya Mkoa wa Njombe ulioanzishwa mnamo Machi 2012 kwa kumega mkoa wa Iringa upande wa kusini.

Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 420,348 [1].

Makao makuu ya wilaya na ya mkoa yapo Njombe Mjini.

Wenyeji asilia wa Njombe ni hasa Wabena.

Kata za Wilaya ya Njombe Vijijini - Mkoa wa Njombe - Tanzania

Idamba | Igongolo | Ikondo | Ikuna | Kichiwa | Kidegembye | Lupembe | Matembwe | Mfriga | Mtwango | Ninga | Ukalawa


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Njombe kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.