Mkwatani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d fixing dead links
Mstari 19: Mstari 19:
}}
}}


'''Mkwatani''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Kilosa]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 7,931 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kilosa.htm|title=Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002|publisher=Serikali ya [[Tanzania]]|language=en|accessdate=}}</ref>
'''Mkwatani''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Kilosa]] katika [[Mkoa wa Morogoro]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 7,931 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kilosa.htm|title=Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002|publisher=Serikali ya [[Tanzania]]|language=en|accessdate=|archiveurl=http://web.archive.org/web/20040320112316/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/kilosa.htm|archivedate=2004-03-20}}</ref>
==Marejeo==
==Marejeo==
{{marejeo}}
{{marejeo}}

Pitio la 12:59, 26 Agosti 2014


Kata ya Mkwatani
Nchi Tanzania
Mkoa Morogoro
Wilaya Kilosa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 7,931

Mkwatani ni jina la kata ya Wilaya ya Kilosa katika Mkoa wa Morogoro, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 7,931 waishio humo. [1]

Marejeo

  1. "Repoti Kuu ya Hesabu ya Sensa ya Watu na Makazi kwa Mwaka wa 2002" (kwa Kiingereza). Serikali ya Tanzania. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2004-03-20. 
Kata za Wilaya ya Kilosa - Mkoa wa Morogoro - Tanzania

Berega | Chanzuru | Dumila | Kasiki | Kidete | Kidodi | Kilangali | Kimamba A | Kimamba B | Kisanga | Kitete | Lumbiji | Lumuma | Mabula | Mabwerebwere | Madoto | Magole | Magomeni | Magubike | Maguha | Malolo | Mamboya | Masanze | Mbigiri | Mbumi | Mhenda | Mikumi | Mkwatani | Msowero | Mtumbatu | Mvumi | Parakuyo | Ruaha | Rudewa | Ruhembe | Tindiga | Ulaya | Uleling`ombe | Vidunda | Zombo |


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Morogoro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkwatani kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa na viongozi wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Kata ya Mkwatani ina vitongoni sita navyo ni manzese"A",Manzese"B", Kichangani,Mkwatani, Mtendeni "A" na Mtendeni "B'Kata ya Mkwatani ina shule ya Sekondari moja -Mazinyungu Sekondari School ambayo ina kidato cha I-IV kwa michepuo ya Science,Biashara na Arts. na kwa Upande wa shule za msingi kuna Shule za msingi 4 ambazo ni Kilosa Town,Manzese,Kichangani,Mkwatani pia Hospitali ya wilaya ya kilosa ipo katika kata hii.Kata hii imepitiwa na barabara inayotoka Morogoro kwenda Kilosa Mjini.