Pai : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Pi - namba ya duara. Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika hesabu na fisikia...'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
Pi - namba ya duara.
'''Pi''' ni [[namba]] ya [[duara]].


Jinsi ilivyo kawaida na herufi mbalimbali za kigiriki inatumiwa kama kifupi kwa ajili ya dhana mbalimbali katika [[hesabu]] na [[fisikia]]. Imejulikana hasa kama namba ya [[duara]] kwa thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....
Jinsi ilivyo kawaida kwa [[herufi]] mbalimbali za [[Kigiriki]], Pi pia inatumika kama [[kifupisho]] kwa ajili ya [[maarifa]] na [[dhana]] za [[hesabu]] na [[fisikia]].
Imejulikana hasa kama namba ya duara kwa thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....


22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.
22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.


Wanahisabati duniani husheherekea [[sikukuu ya Pi]] tarehe [[14 Machi]] au pia [[22 Julai]].
[[Wanahisabati]] duniani husheherekea [[sikukuu ya Pi]] tarehe [[14 Machi]] au pia [[22 Julai]].

{{mbegu}}


[[Jamii:Namba]]
[[Jamii:Namba]]

Pitio la 09:07, 17 Juni 2014

Pi ni namba ya duara.

Jinsi ilivyo kawaida kwa herufi mbalimbali za Kigiriki, Pi pia inatumika kama kifupisho kwa ajili ya maarifa na dhana za hesabu na fisikia.

Imejulikana hasa kama namba ya duara kwa thamani ya 3.1415926535897932384626433832795028841....

22/7 ni karibu zaidi na Pi na 355/113 ni karibu zaidi tena.

Wanahisabati duniani husheherekea sikukuu ya Pi tarehe 14 Machi au pia 22 Julai.