Kievant : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+en
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 4 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q35259 (translate me)
Mstari 11: Mstari 11:
[[Jamii:Lugha za Nigeria]]
[[Jamii:Lugha za Nigeria]]
[[Jamii:Lugha za Kamerun]]
[[Jamii:Lugha za Kamerun]]

[[de:Evant]]
[[en:Evant language]]
[[hr:Evant (jezik)]]
[[pms:Lenga Evant]]

Pitio la 16:51, 11 Machi 2013

Kievant ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Waevant. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kievant imehesabiwa kuwa watu 10,000 nchini Nigeria na watu 1000 nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kievant kiko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kievant kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.