Mlima Meru : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d Minor fix using AWB
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 28 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q309098 (translate me)
Mstari 25: Mstari 25:


[[Jamii:Milima ya Tanzania]]
[[Jamii:Milima ya Tanzania]]

[[bg:Меру (вулкан)]]
[[cs:Mount Meru]]
[[da:Mount Meru]]
[[de:Mount Meru]]
[[en:Mount Meru (Tanzania)]]
[[eo:Monto Meru]]
[[es:Monte Meru (Tanzania)]]
[[et:Meru]]
[[eu:Meru mendia]]
[[fa:کوه مرو]]
[[fi:Meru]]
[[fr:Mont Méru]]
[[he:מרו (טנזניה)]]
[[it:Monte Meru (Tanzania)]]
[[ka:მერუ (ვულკანი)]]
[[lt:Meru (ugnikalnis)]]
[[mk:Меру (вулкан)]]
[[nl:Mount Meru]]
[[no:Mount Meru]]
[[pl:Meru (wulkan)]]
[[pt:Monte Meru]]
[[ru:Меру (вулкан)]]
[[sk:Meru (sopka)]]
[[sv:Mount Meru]]
[[th:ยอดเขาเมรู]]
[[uk:Меру (вулкан)]]
[[vi:Núi Meru (Tanzania)]]
[[zh:梅魯火山]]

Pitio la 01:10, 11 Machi 2013

Mlima Meru kutoka juu

mlima Meru ni mlima wa volkeno na una urefu wa mita 4565(futi 15064) kutoka usawa wa bahari. Mlima huu ni wa tano kwa urefu katika bara la Afrika.

Mlima Meru unapatikana ndani ya Hifadhi ya Arusha ambayo ilianzishwa mwaka 1960 ambapo wanyama pori kuzunguka Maziwa ya Momella na Volcano ya Ngurudoto (Ngurudoto crater) walihifadhiwa na kulinwa katika eneo hili.

Hifadhi hii ina ukubwa wa kilometa za mraba 137 na ipo umbali wa kilometa 35 kutoka katika mji wa kitalii wa Arusha na Uwanja wa ngege wa Kilimanjaro.


Kilele cha Mlima Meru

Vivutio katika hifadhi hii vinajumuisha volkeno, maziwa, Misitu na wanyama pori kama twiga, tembo, pundamilia, nyati na wengine wengi. Pia kuna ndege wa aina nyingi wakiwemo flamingo, pia misitu katika mlima Meru ni makazi ya nyani.


Kupanda Mlima Meru inachukua siku tatu hadi nne na wakati mzuri wa kupanda mlima ni kuanzia mwezi Juni hadi Februari ambapo mvua zinaweza kunyesha katika mwezi wa Novemba. Na wakati mzuri wa kuona Kilimanjaro kutokea Meru ni mwezi kati ya Desemba na Februari.

Marejeo

Majarida ya Utalii na maliasili za Tanzania

Viungo vya nje