Mkondo wa bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 56 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q129558 (translate me)
 
Mstari 15: Mstari 15:
[[Jamii:Mikondo ya Bahari| ]]
[[Jamii:Mikondo ya Bahari| ]]
[[Jamii:Bahari]]
[[Jamii:Bahari]]

[[ar:تيار محيطي]]
[[az:Dəniz cərəyanları]]
[[be:Марскія цячэнні]]
[[bg:Океанско течение]]
[[bn:মহাসাগরীয় স্রোত]]
[[br:Kasenn]]
[[bs:Morska struja]]
[[ca:Corrent oceànic]]
[[cs:Mořský proud]]
[[da:Havstrøm]]
[[de:Meeresströmung]]
[[en:Ocean current]]
[[eo:Marfluo]]
[[es:Corriente marina]]
[[et:Hoovus]]
[[eu:Itsaslaster]]
[[fa:جریان اقیانوسی]]
[[fi:Merivirta]]
[[fr:Courant marin]]
[[gl:Corrente oceánica]]
[[he:זרם ים]]
[[hi:महासागरीय धारा]]
[[hr:Morska struja]]
[[ht:Kouran sifas]]
[[hu:Tengeráramlatok]]
[[hy:Օվկիանոսային հոսանքներ]]
[[id:Arus air laut]]
[[it:Corrente oceanica]]
[[ja:海流]]
[[ka:ზღვის დინებები]]
[[kk:Мұхит және теңіз ағыстары]]
[[km:ខ្សែទឹកមហាសមុទ្រ]]
[[ko:해류]]
[[lv:Okeāna straume]]
[[ml:സമുദ്രജലപ്രവാഹം]]
[[mr:समुद्री प्रवाह]]
[[nl:Zeestroom]]
[[nn:Havstraum]]
[[no:Havstrøm]]
[[pl:Prąd morski]]
[[pt:Corrente oceânica]]
[[ro:Curent marin]]
[[ru:Морские течения]]
[[sh:Morska struja]]
[[simple:Ocean current]]
[[sk:Morský prúd]]
[[sl:Oceanski tok]]
[[sq:Rrymat detare]]
[[sr:Морска струја]]
[[sv:Havsström]]
[[ta:பெருங்கடல் நீரோட்டம்]]
[[th:กระแสน้ำมหาสมุทร]]
[[uk:Морська течія]]
[[vi:Hải lưu]]
[[zh:洋流]]
[[zh-min-nan:Iûⁿ-lâu]]

Toleo la sasa la 10:31, 9 Machi 2013

Mikondo ya Bahari (nyekundu: mkondo yabeba maji yenye moto zaidi kuliko bahari ya mazingira; buluu: mkondo hubeba maji baridi kulingana na mazingira)
Wote duniani currents kwenye bahari endelevu ya ramani

Mkondo wa bahari ni mwendo mfululizo wa maji ndani ya bahari. Ni kama mto ndani ya bahari. Maji ya mkondo huwa na halijoto tofauti na maji ya mazingira.

Kwa kawaida huwa mikondo ya bahari yahusu maji karibu na uso wa bahari. Kwa hiyo kama mto wa kawaida mkondo una kimo chake vile vile na maji yake hutembea juu ya maji ya chini. Kuna pia mikondo ya chini.

Nguvu inayosukuma maji si mtelemko na nguvu ya uvutano jinsi ilivyo kwa mito ya nchi kavu bali kani mbalimbali kama mazunguko ya dunia, upepo, halijoto ya eneo na tofauti za kiwango cha chumvi ndani ya maji kieneo.


Mikondo muhimu[hariri | hariri chanzo]

Mikondo ya bahari yaenedelea kwa maelfu ya kilomita. Ina athira kubwa kwa hali ya hewa. Mfano bora ni mkondo wa ghuba unaosukuma maji yaliyozizimuliwa kutoka Karibi hadi Atlantiki ya kaskazini ikisababisha hali ya hewa ya Ulaya kuwa na joto zaidi kulingana maeneo ya Siberia au Kanada kwenye latitudo ileile.

Mfano mwingine ni pwani la Namibia ambako mkondo wa Benguela husababisha kutokea kwa jangwa la Namib.