Fernando Sancho : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Fernando Sancho
Fernando Sancho
Mstari 3: Mstari 3:

Fernando pia aliwahi kuonekana katika [[Spaghetti Westerns|filamu za western]], ambazo nyingi zilitaarishwa na mataarishaji Ignacio F. Iquino, vile vile kuna kipindi huonekana katika filamu alizocheza nyota [[Richard Harrison]].

==Ona Pia==
* [[Spaghetti Western|Orodha ya waigizaji na waongozaji wa spaghetti western]].
==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==
* [http://www.imdb.com/name/nm0761100/ Fernando Sancho katika IMDB]
* [http://www.imdb.com/name/nm0761100/ Fernando Sancho katika IMDB]

Pitio la 05:09, 3 Novemba 2007

Fernando Sancho.

Fernando Sancho (Alizaliwa tar. 7 Januari ya mwaka wa 1916, akafariki dunia tar. 31 Julai ya mwaka wa 1990) alikuwa muigizaji wa filamu kutoka nchini Hispania. Sancho alizaliwa mjini Zaragoza, Aragón, Hispania, akaja kuiaga dunia mjini Madrid baada ya kufanyiwa upasuaji.

Fernando pia aliwahi kuonekana katika filamu za western, ambazo nyingi zilitaarishwa na mataarishaji Ignacio F. Iquino, vile vile kuna kipindi huonekana katika filamu alizocheza nyota Richard Harrison.

Ona Pia

Viungo vya Nje