Henry III wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imebadilisha: ka:ჰენრი III
Minor fix using AWB
Mstari 1: Mstari 1:
[[picha:King_Edward_II.jpg|thumb|200px|Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 ulioongezewa baadaye jina la "Edwardus" kwa kosa)]]
[[picha:King_Edward_II.jpg|thumb|200px|Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 ulioongezewa baadaye jina la "Edwardus" kwa kosa)]]


'''Henry III''' ([[1 Oktoba]], [[1207]] – [[16 Novemba]], [[1272]]) alikuwa mfalme wa [[Uingereza]] mwaka [[1216]] alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa [[Eire]] hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa [[Eleanor wa Provence]]. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini [[London]] ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi.
'''Henry III''' ([[1 Oktoba]] [[1207]] – [[16 Novemba]] [[1272]]) alikuwa mfalme wa [[Uingereza]] mwaka [[1216]] alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa [[Eire]] hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa [[Eleanor wa Provence]]. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini [[London]] ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi.


Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa kuthibitisha sheria ya [[Magna Charta]] na kukubali makao ya [[bunge]] ya kwanza ya Uingereza mwaka 1264 iliyokuwa na haki ya kukubali au kukataa kodi.
Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa kuthibitisha sheria ya [[Magna Charta]] na kukubali makao ya [[bunge]] ya kwanza ya Uingereza mwaka 1264 iliyokuwa na haki ya kukubali au kukataa kodi.

{{mbegu-mtu}}
{{Mbegu-mtu}}


{{DEFAULTSORT:Henry III}}
{{DEFAULTSORT:Henry III}}

Pitio la 22:28, 14 Februari 2013

Henry III (uchoraji mnamo mwaka 1620 ulioongezewa baadaye jina la "Edwardus" kwa kosa)

Henry III (1 Oktoba 120716 Novemba 1272) alikuwa mfalme wa Uingereza mwaka 1216 alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa Eire hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa Eleanor wa Provence. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini London ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi.

Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa kuthibitisha sheria ya Magna Charta na kukubali makao ya bunge ya kwanza ya Uingereza mwaka 1264 iliyokuwa na haki ya kukubali au kukataa kodi.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Henry III wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.