Vipimo sanifu vya kimataifa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2+) (Roboti: Imeongeza ky:СИ өлчөө системи
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Vipimo sanifu vya kimataifa''' ([[Kifar.]]: '''Système International d'unités'''; kifupi chake: '''SI''') ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na [[kizio|vizio]] vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na [[Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo]].

Msingi wa utaratibu huu ni [[mita]]. Vizio vingine ni vya urefu ([[mita]]), masi ([[kilogramu]]), wakati ([[sekondi]]), mkondo wa umeme ([[ampea]]), halijoto ([[kelvini]]), kiasi cha dutu ([[moli]]), mwangaza au ukalifu nunurikaji ([[kandela]]).
Msingi wa utaratibu huu ni [[mita]]. Vizio vingine ni vya urefu ([[mita]]), masi ([[kilogramu]]), wakati ([[sekondi]]), mkondo wa umeme ([[ampea]]), halijoto ([[kelvini]]), kanieneo ([[paskali]]), kiasi cha dutu ([[moli]]), mwangaza au ukalifu nunurikaji ([[kandela]]).

[[Kipimo|Vipimo]] hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.
[[Kipimo|Vipimo]] hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.

Pitio la 14:23, 8 Januari 2013

Vipimo sanifu vya kimataifa (Kifar.: Système International d'unités; kifupi chake: SI) ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na vizio vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo.

Msingi wa utaratibu huu ni mita. Vizio vingine ni vya urefu (mita), masi (kilogramu), wakati (sekondi), mkondo wa umeme (ampea), halijoto (kelvini), kanieneo (paskali), kiasi cha dutu (moli), mwangaza au ukalifu nunurikaji (kandela).

Vipimo hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.

Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA Kigezo:Link FA