Ampea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ampere (kifupi amp) ni kipimo cha SI kwa mkondo wa umeme. Alama yake ni A.

Jina limetokana na mtaalamu Mfaransa André-Marie Ampère aliyegundua sumakuumeme

1 A = 1 C/s = 1 C · s-1 = 1 W/V = 1 W · V-1

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]