Kiyunani : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d robot Adding: nds:Koine Greeksch
d robot Modifying: zh:通用希臘語
Mstari 29: Mstari 29:
[[sv:Koine]]
[[sv:Koine]]
[[tr:Koini]]
[[tr:Koini]]
[[zh:希利尼話]]
[[zh:通用臘語]]

Pitio la 23:40, 21 Septemba 2007

Kiyunani - jina hilo ni la Kiswahili cha kale kwa "Kigiriki", ambayo ni lugha ya nchi ya Ugiriki ("Uyunani") au tabia za Wagiriki ("Wayunani").

Neno la kale limetokana na lugha ya Kiarabu اليونان likatumikiwa hasa katika matoleo mbalimbali ya Biblia. Miaka ya nyuma neno la "Kigiriki" likasambaa zaidi, kutokana na athira ya Kiingereza kinachotumia "Greek" kutokana na tamko ya Kilatini "Graeci" ambayo ni kawaida katika lugha nyingi za Kiulaya. Wanaotajwa wenyewe hujiita "Helleni", lugha yao "Helleniki".