Kilamnso' : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Kilamnso' '''ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Walamnso'. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kila...'
 
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: de:Lamnso, en:Nso language, pms:Lenga Lamnso'
Mstari 9: Mstari 9:
[[Jamii:Lugha za Kamerun]]
[[Jamii:Lugha za Kamerun]]
[[Jamii:Lugha za Nigeria]]
[[Jamii:Lugha za Nigeria]]

[[de:Lamnso]]
[[en:Nso language]]
[[pms:Lenga Lamnso']]

Pitio la 09:53, 16 Desemba 2011

Kilamnso' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Walamnso'. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kilamnso' imehesabiwa kuwa watu 125,000. Pia kuna wasemaji nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kilamnso' kiko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kilamnso' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.