Giordano Bruno : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: oc:Giordano Bruno
d r2.5.2) (roboti Badiliko: kk:Джордано Бруно
Mstari 54: Mstari 54:
[[ka:ჯორდანო ბრუნო]]
[[ka:ჯორდანო ბრუნო]]
[[kaa:Giordano Bruno]]
[[kaa:Giordano Bruno]]
[[kk:Бруно, Джордано]]
[[kk:Джордано Бруно]]
[[ko:조르다노 브루노]]
[[ko:조르다노 브루노]]
[[ku:Giordano Bruno]]
[[ku:Giordano Bruno]]

Pitio la 13:26, 9 Agosti 2011

Giordano Bruno

Giordano Bruno alizaliwa Nola mwaka 1548 akauawa tarehe 17 Februari 1600 mjini Roma.

Alikuwa kasisi, mtawa wa shirika la Wadominiko, mwanafalsafa na mshairi nchini Italia.

Anakumbukwa katika falsafa hasa kwa sababu ya mafundisho yake kuwa ulimwengu hauna mwisho wala mipaka.

Alihukumiwa na mahakama ya Papa adhabu ya kifo na kuchomwa motoni kama mzushi na mchawi.

Mwaka 2000 kamati ya Vatikano ilitangaza kwamba hukumu ile ilikuwa kosa.


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Giordano Bruno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.