Tofauti kati ya marekesbisho "Mkwatani"
Jump to navigation
Jump to search
no edit summary
No edit summary |
No edit summary |
||
[[Jamii:Mkoa wa Morogoro]]
[[Jamii:Wilaya ya Kilosa]]
Kata ya Mkwatani ina vitongoni sita navyo ni manzese"A",Manzese"B", Kichangani,Mkwatani, Mtendeni "A" na Mtendeni "B'Kata ya Mkwatani ina shule ya Sekondari moja -Mazinyungu Sekondari School ambayo ina kidato cha I-IV kwa michepuo ya Science,Biashara na Arts.
na kwa Upande wa shule za msingi kuna Shule za msingi 4 ambazo ni Kilosa Town,Manzese,Kichangani,Mkwatani pia Hospitali ya wilaya ya kilosa ipo katika kata hii.Kata hii imepitiwa na barabara inayotoka Morogoro kwenda Kilosa Mjini.
|