Ponsyo Pilato : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: sk:Pilát Pontský
Mstari 53: Mstari 53:
[[sh:Poncije Pilat]]
[[sh:Poncije Pilat]]
[[simple:Pontius Pilate]]
[[simple:Pontius Pilate]]
[[sk:Pilát Pontský]]
[[sl:Poncij Pilat]]
[[sl:Poncij Pilat]]
[[sr:Pontije Pilat]]
[[sr:Pontije Pilat]]

Pitio la 16:45, 24 Juni 2011

Ecce Homo, mchoro wa Antonio Ciseri unaoonyesha Ponsyo Pilato alivyomtambulisha Yesu kwa watu wa Yerusalemu baada ya kumpiga mijeledi

Ponsyo Pilato (kwa Kilatini Pontius Pilatus; kwa Kigiriki Πόντιος Πιλᾶτος; kwa Kiebrania פונטיוס פילאטוס; alikuwa liwali wa Palestina katika miaka 26-36.

Anajulikana kutoka vyanzo mbalimbali, lakini hasa kwa sababu ya Injili kumtaja kama hakimu aliyempeleka Yesu kuuawa msalabani.

Kanisa la Ethiopia linafuata hadithi ya kwamba aliongoka, hivyo linamheshimu kama mtakatifu.

Kadiri ya mapokeo mengine, alijiua.