Henry III wa Uingereza : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d r2.7.1) (roboti Nyongeza: af:Hendrik III van Engeland |
||
Mstari 11: | Mstari 11: | ||
[[Jamii:Wafalme na malkia wa Uingereza]] |
[[Jamii:Wafalme na malkia wa Uingereza]] |
||
[[af:Hendrik III van Engeland]] |
|||
[[ar:هنري الثالث ملك إنجلترا]] |
[[ar:هنري الثالث ملك إنجلترا]] |
||
[[bg:Хенри III (Англия)]] |
[[bg:Хенри III (Англия)]] |
Pitio la 17:35, 15 Mei 2011
Henry III (1 Oktoba, 1207 – 16 Novemba, 1272) alikuwa mfalme wa Uingereza mwaka 1216 alipokuwa na umri wa miaka 9. Alitawala kama mfalme wa Uingereza na mkuu wa Eire hadi kifo chake kwenye mwaka 1272. Alimwoa Eleanor wa Provence. Alianzisha majengo katika mtaa wa Westminster mjini London ulioendelea kuwa makao ya serikali ya Uingereza kwa karne nyingi.
Miaka mingi aligombana na makabaila wakubwa juu ya haki za mfalme. Alipaswa kuthibitisha sheria ya Magna Charta na kukubali makao ya bunge ya kwanza ya Uingereza mwaka 1264 iliyokuwa na haki ya kukubali au kukataa kodi.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henry III wa Uingereza kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |