Kimondo cha Mbozi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
nyongeza kidogo
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kimondo cha Mbozi''' ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na kijiji cha Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]].

Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.
Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni cha chuma.

Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni hasa cha chuma. [[Chuma]] ni 90.45%, [[nikeli]] 8,69%, [[sulfuri]] 0,01% na [[fosfori]] 0,11% ya masi yake.

==Viungo vya Nje==
==Viungo vya Nje==

Pitio la 07:25, 3 Mei 2011

Kimondo cha Mbozi ni kimondo ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na kijiji cha Vwawa. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, wilayani Mbozi katika mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Kipo kati ya vimondo vizito 10 vinavyojulikana duniani. Kina urefu wa mita 3.3, upana wa mita 1.63 na kimo cha mita 1.22.

Kina maumbile maalum tofauti na vimondo vingine vinavyopatikana ulimwenguni kwa kuwa hiki ni hasa cha chuma. Chuma ni 90.45%, nikeli 8,69%, sulfuri 0,01% na fosfori 0,11% ya masi yake.

Viungo vya Nje