William Henry Harrison : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: eu:William Henry Harrison
Mstari 21: Mstari 21:
[[bcl:William Henry Harrison]]
[[bcl:William Henry Harrison]]
[[be:Уільям Генры Гарысан]]
[[be:Уільям Генры Гарысан]]
[[be-x-old:Ўільям Генры Гарысан]]
[[bg:Уилям Хенри Харисън]]
[[bg:Уилям Хенри Харисън]]
[[bn:উইলিয়াম হেনরি হ্যারিসন]]
[[bn:উইলিয়াম হেনরি হ্যারিসন]]

Pitio la 15:29, 8 Agosti 2010

William Henry Harrison

William Henry Harrison (9 Februari, 17734 Aprili, 1841) alikuwa Rais wa tisa wa Marekani kwa mwezi mmoja tu wakati wa mwaka wa 1841 hadi kifo chake. Alikuwa rais wa kwanza kufariki madarakani. Kaimu Rais wake alikuwa John Tyler aliyemfuata kama Rais. Mjukuu wake aliyeitwa Benjamin Harrison alikuwa Rais wa 23.

Tazamia pia

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Henry Harrison kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.