Johannes Fibiger : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
+jamii
Mstari 4: Mstari 4:


{{DEFAULTSORT:Fibiger, Johannes}}
{{DEFAULTSORT:Fibiger, Johannes}}
[[Category:Waliozaliwa 1867]]
[[Category:Waliofariki 1928]]
[[Category:Wanasayansi wa Denmark]]
[[Category:Wanasayansi wa Denmark]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Tiba]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Tiba]]

Pitio la 09:06, 16 Machi 2007

Johannes Fibiger (23 Aprili, 186730 Januari, 1928) alikuwa daktari na mwanapatholojia kutoka nchi ya Denmark. Hasa alichunguza ugonjwa wa kansa. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.