Julian Huxley : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: simple:Julian Huxley
Mstari 46: Mstari 46:
[[pt:Julian Huxley]]
[[pt:Julian Huxley]]
[[ru:Хаксли, Джулиан]]
[[ru:Хаксли, Джулиан]]
[[simple:Julian Huxley]]
[[sv:Julian Sorell Huxley]]
[[sv:Julian Sorell Huxley]]
[[zh:朱利安·赫胥黎]]
[[zh:朱利安·赫胥黎]]

Pitio la 13:55, 18 Septemba 2009

Sir Julian Sorell Huxley (22 Juni, 188714 Februari, 1975) alikuwa mwanabiolojia na mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Anajulikana hasa kwa maandishi yake ya kisayansi aliyojaribu kuyafanya yaeleweke na watu wengi wa kawaida. Pia alikuwa mkurugenzi wa kwanza wa UNESCO. Alipewa cheo cha Sir cha Uingereza mwaka wa 1958.

Huxley alizaliwa ndani ya familia maarufu. Kwa mfano, kaka yake ni mwandishi Aldous Huxley, na kaka mwingine ni mwanabiolojia Andrew Huxley, mshindi wa Tuzo ya Nobel; baba yake ni mwandishi na mhariri Leonard Huxley. Tena, babu yake aliyemzaa mamake ni mwanabiolojia T. H. Huxley, aliyefanya kazi na kumsaidia Charles Darwin.

Viungo vya nje

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:

Insha

Marejeo

  • Clark, Ronald, W. 1968. "The Huxleys". McGraw-Hill
  • Huxley, J., 1957. "Transhumanism". Angalia kiungo cha insha hiyo huko juu.
  • Huxley, J., 1970. Memories. George Allen & Unwin, London.
  • Kevles, D. J., 1985. In The Name Of Eugenics. University of California Press.
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julian Huxley kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.