Adelaide wa Italia : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Add image from http://tools.wikimedia.de/~emijrp/imagesforbio/ |
No edit summary |
||
Mstari 5: | Mstari 5: | ||
[[Category:Waliozaliwa 931]] |
[[Category:Waliozaliwa 931]] |
||
[[Category:Waliofariki 999]] |
[[Category:Waliofariki 999]] |
||
[[Category:Watakatifu |
[[Category:Watakatifu wa Ufaransa]] |
||
[[Category: |
[[Category:Watakatifu wa Italia]] |
||
{{mbegu-Mkristo}} |
{{mbegu-Mkristo}} |
Pitio la 04:59, 30 Agosti 2009
Adelaide wa Italia (takriban 931 – 16 Desemba, 999) alikuwa binti wa Rudolf II, mfalme wa Burgundia. Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa Italia. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na Otto I, mfalme wa Ujerumani. Aliishi maisha matakatifu. Sikukuu yake ni 16 Desemba.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |