Tofauti kati ya marekesbisho "Giuliano Gemma"

Jump to navigation Jump to search
17 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
d
roboti Nyongeza: sq:Giuliano Gemma; cosmetic changes
d (Add image from http://tools.wikimedia.de/~emijrp/imagesforbio/)
d (roboti Nyongeza: sq:Giuliano Gemma; cosmetic changes)
'''Giuliano Gemma''' (amezaliwa tar. [[2 Septemba]], [[1938]]) ni mwigizaji wa [[filamu]] kutoka nchini [[Italia]], aliyewahi kuwika katika [[filamu za western]] ya [[Italia]], maarufu kama [[Spaghetti Western|spaghetti western]].
 
== Maisha ya Mwanzo na Filamu ==
Gemma alizaliwa mjini [[Rome]], [[Italia]]. Awali alikuwa akifanya kazi kama mtu wa kucheza sehemu za hatari katika filamu (Stuntman) kisha akapewa ofa ya kuigiza, na muongozaji wa filamu za kitaliana bwana "Duccio Tessari", ambaye pia alikuwa nyota wa filamu ya Arrivano i titani ya mwaka (1962).
 
 
Giuliano mpaka leo hii bado anafanya shughuli zake katika televisheni moja hivi ya nchini Italia. Ingawaje anaoneka kama bado ni mwigizaji wa [[filamu za western]], nchini Italia.
Gemma alicheza filamu nyingi sana, ikiwemo ile ya muongozaji "Valerio Zurlini'', iliitwa ''Il deserto dei tartari'' pia alicheza katika filamu ndogo ndogo, ikiwemo ''Luchino Visconti'', alitumia jina la "Garibaldi General", pia akatumia jina la masterpiece, katika filamu ya ''Il Gattopardo''.
 
Gemma pia ana binti yake aitwae Vera Gemma, nae pia mwigizaji. Giuliano Gemma pia mchongaji wa masanamu.
 
== Filamu Alizocheza Gemma ==
* ''Arrangiatevi!]'' (1959)
* ''Il Gattopardo'' (1963)
* ''La donna del delitto'' (2000)
 
== Ona Pia ==
*[[Spaghetti Western|Orodha ya waigizaji na waongozaji wa spaghetti western]].
 
== Viungo vya Nje ==
* {{imdb name|id=0312575|name=Giuliano Gemma}}
* [http://www.giulianogemma.it/ Tovuti Rasmi ya Gemma]
 
{{DEFAULTSORT:Gemma, Giuliano}}
[[CategoryJamii:Waigizaji Filamu wa Italia]]
[[CategoryJamii:Waigizaji wa Filamu za Western]]
[[CategoryJamii:Watu Walio Hai]]
[[CategoryJamii:Waliozaliwa 1938]]
 
[[bg:Джулиано Джема]]
[[pt:Giuliano Gemma]]
[[sl:Giuliano Gemma]]
[[sq:Giuliano Gemma]]
44,136

edits

Urambazaji