Mkondo wa Benguela : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: thumb|400px|Mkondo wa Benguela kati ya mikondo ya Atlantiki ya Kusini Mkondo wa Benguela ni mkondo wa bahari unaopita katika Atlantiki kuelekea kaskazini.
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[image:Benguela.PNG|thumb|400px|Mkondo wa Benguela kati ya mikondo ya Atlantiki ya Kusini]]
[[image:Benguela.PNG|thumb|400px|Mkondo wa Benguela kati ya mikondo ya Atlantiki ya Kusini]]


Mkondo wa Benguela ni mkondo wa bahari unaopita katika Atlantiki kuelekea kaskazini.
'''Mkondo wa Benguela''' ni [[mkondo wa bahari]] katika [[Atlantiki]] ya Kusini unaotoka katika bahari baridi karibu na [[Antaktika]] na kuelekea kaskazini ukipita kwenye pwani la magharibi la Afrika. Mkondo una upana wa 200-3000 km.

Mkondo husukuma maji baridi kwenye pwani la Afrika Kusini, Namibia na Angola. Maji yake huwa vuguvugu kiasi jinsi inavyofika kaskazini katika halijoto ya juu zaidi. Karibu na [[ikweta]] unabadilika mwelekeo wake na kuingia katika [[mkondo wa kusini ya ikweta]]. Sehemu ya maji yake inaingia katika [[bahari ya Karibi]] na kulisha [[mkondo wa ghuba]].

Kusini ya rasi ya Afrika mkondo wa Benguela unakutana na maji ya vuguvugu ya [[mkondo wa Agulhas]] kutoka [[Bahari Hindi]].

==Athira kwa hali ya hewa Namibia==
Ukipita kwenye pwani la [[Namibia]] husababisha hali ya hewa kavu sana. Baridi ya mkondo wa Benguela hupoza upepo kutoka kusini-magharibi na kuusababisha kunyesha unyevu wake kama mvua baharini hivyo kuzuia mvua barani. [[Jangwa la Namib]] ni tokeo la mazingira haya. Halijoto ya maji kwenye mwambao wa Namibia huwa ni kwenye 15 [[°C]] na ukungu hutokea mara kwa mara mwambaoni.

[[Category:Mikondo ya Bahari]]

[[de:Benguelastrom]]
[[en:Benguela Current]]
[[es:Corriente de Benguela]]
[[nl:Benguelastroom]]
[[pl:Prąd Benguelski]]

Pitio la 22:33, 1 Desemba 2006

Mkondo wa Benguela kati ya mikondo ya Atlantiki ya Kusini

Mkondo wa Benguela ni mkondo wa bahari katika Atlantiki ya Kusini unaotoka katika bahari baridi karibu na Antaktika na kuelekea kaskazini ukipita kwenye pwani la magharibi la Afrika. Mkondo una upana wa 200-3000 km.

Mkondo husukuma maji baridi kwenye pwani la Afrika Kusini, Namibia na Angola. Maji yake huwa vuguvugu kiasi jinsi inavyofika kaskazini katika halijoto ya juu zaidi. Karibu na ikweta unabadilika mwelekeo wake na kuingia katika mkondo wa kusini ya ikweta. Sehemu ya maji yake inaingia katika bahari ya Karibi na kulisha mkondo wa ghuba.

Kusini ya rasi ya Afrika mkondo wa Benguela unakutana na maji ya vuguvugu ya mkondo wa Agulhas kutoka Bahari Hindi.

Athira kwa hali ya hewa Namibia

Ukipita kwenye pwani la Namibia husababisha hali ya hewa kavu sana. Baridi ya mkondo wa Benguela hupoza upepo kutoka kusini-magharibi na kuusababisha kunyesha unyevu wake kama mvua baharini hivyo kuzuia mvua barani. Jangwa la Namib ni tokeo la mazingira haya. Halijoto ya maji kwenye mwambao wa Namibia huwa ni kwenye 15 °C na ukungu hutokea mara kwa mara mwambaoni.