Johannes Stark : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ko:요하네스 슈타르크
d roboti Nyongeza: ar:يوهانس شتارك
Mstari 12: Mstari 12:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[ar:يوهانس شتارك]]
[[bg:Йоханес Щарк]]
[[bg:Йоханес Щарк]]
[[bn:ইয়োহানেস ষ্টার্ক]]
[[bn:ইয়োহানেস ষ্টার্ক]]

Pitio la 22:10, 28 Novemba 2008

Faili:Johannes Stark.png
Johannes Stark, 1919

Johannes Stark (15 Aprili, 187421 Juni, 1957) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza maswali ya umeme. Mwaka wa 1905 aligundua athari ya Doppler katika mionzi maalumu. Mwaka wa 1919 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.