William Golding : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: uk:Вільям Голдінг |
d roboti Nyongeza: fa:ویلیام گلدینگ |
||
Mstari 27: | Mstari 27: | ||
[[et:William Golding]] |
[[et:William Golding]] |
||
[[eu:William Golding]] |
[[eu:William Golding]] |
||
[[fa:ویلیام گلدینگ]] |
|||
[[fi:William Golding]] |
[[fi:William Golding]] |
||
[[fr:William Golding]] |
[[fr:William Golding]] |
Pitio la 08:31, 29 Oktoba 2008
William Gerald Golding (19 Septemba, 1911 – 19 Juni, 1993) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Uingereza. Hasa aliandika riwaya, kwa mfano "Bwana wa Nzi" (kwa Kiingereza Lord of the Flies) iliyotolewa mwaka wa 1954. Mwaka wa 1983 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi. Mwaka wa 1988 alipewa cheo cha Sir cha Uingereza.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |