Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: es:Josafat Kuncewicz |
SpBot (majadiliano | michango) d roboti Badiliko: it:Giosafat Kuncewycz |
||
Mstari 22: | Mstari 22: | ||
[[es:Josafat Kuncewicz]] |
[[es:Josafat Kuncewicz]] |
||
[[fr:Josaphat Koncévitch]] |
[[fr:Josaphat Koncévitch]] |
||
[[it: |
[[it:Giosafat Kuncewycz]] |
||
[[pl:Jozafat Kuncewicz]] |
[[pl:Jozafat Kuncewicz]] |
||
[[ro:Iosafat Kuncevic]] |
[[ro:Iosafat Kuncevic]] |
Pitio la 01:05, 16 Septemba 2008
Mtakatifu Yosafat wa Polotsk (1580 – 1623) alikuwa askofu wa Polotsk. Ametambuliwa kuwa mtakatifu kama mfiadini. Sikukuu yake ni 12 Novemba.
Maisha
Mtakatifu Yosafat alizaliwa kwa jina Yosafat Kuntsevych nchini Ukraine mwaka wa 1580 katika familia ya Waorthodoksi waliounganishwa na kanisa katoliki chini ya mapatano ya maungano ya Brest yaliyoanzisha kanisa la Kigiriki-Katoliki la Ukraine. Akajiunga na wamonaki wa Mt. Basil. Alipata upadre, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na kanisa katoliki kwa jumla. Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi wa pekee wa kanisa lake. Alifia dini yake mwaka wa 1623 akiuawa na wapinzani wa umoja na kanisa katoliki.
Tazama pia
Marejeo
- "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |