John Fisher : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
rekebisho la sikukuu
d roboti Badiliko: it:John Fisher
Mstari 14: Mstari 14:
[[es:Juan Fisher]]
[[es:Juan Fisher]]
[[fr:John Fisher]]
[[fr:John Fisher]]
[[it:San Giovanni Fisher]]
[[it:John Fisher]]
[[ja:ジョン・フィッシャー]]
[[ja:ジョン・フィッシャー]]
[[ko:존 피셔]]
[[ko:존 피셔]]

Pitio la 01:17, 9 Septemba 2008

John Fisher (146922 Juni, 1535) alikuwa padre Mkatoliki kule Uingereza. Pia aliitwa John wa Rochester. Pamoja na Thomas More, alimkataa mfalme Henry VIII aliyejitenga na Kanisa la kikatoliki. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa ndani na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Mwaka wa 1935 alitangazwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 22 Juni katika Kanisa la Kikatoliki, na 6 Julai katika Kanisa la Anglikana.