Abihu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
d kuongeza viungo vya lugha nyingine
Mstari 7: Mstari 7:
[[de:Abihu]]
[[de:Abihu]]
[[en:Abihu]]
[[en:Abihu]]
[[fr:Abihu]]

Pitio la 19:56, 8 Septemba 2006

Abihu alikuwa mwana wa Aroni anayetajwa katika Agano la Kale, au Biblia ya Kiebrania katika kitabu cha Walawi, kwa mfano sura ya 10 kuanzia mstari wa 1. Pamoja na kaka yake Nadabu alifanya kosa mbele ya Mungu na kuteketezwa na moto.