Hezbollah : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
d robot Adding: bs, cv, tr, uk, vi Modifying: eo
Mstari 21: Mstari 21:
[[ar:حزب الله]]
[[ar:حزب الله]]
[[bg:Хизбула]]
[[bg:Хизбула]]
[[bs:Hezbollah]]
[[ca:Hesbol·là]]
[[ca:Hesbol·là]]
[[cs:Hizballáh]]
[[cs:Hizballáh]]
[[cv:Хезболла]]
[[da:Hizbollah]]
[[da:Hizbollah]]
[[de:Hisbollah]]
[[de:Hisbollah]]
[[en:Hezbollah]]
[[en:Hezbollah]]
[[eo:Hizbolaho]]
[[eo:Hizbulaho]]
[[es:Hezbolá]]
[[es:Hezbolá]]
[[fa:حزب‌الله لبنان]]
[[fa:حزب‌الله لبنان]]
Mstari 50: Mstari 52:
[[ta:ஹெஸ்புல்லா]]
[[ta:ஹெஸ்புல்லா]]
[[th:ฮิซบุลลอหฺ]]
[[th:ฮิซบุลลอหฺ]]
[[tr:Hizbullah (Lübnan)]]
[[uk:Хізбалла]]
[[vi:Hezbollah]]
[[zh:真主党]]
[[zh:真主党]]
[[zh-min-nan:Hizb Allah]]
[[zh-min-nan:Hizb Allah]]

Pitio la 16:58, 25 Agosti 2006

Faili:Flag of Hezbollah.svg
Bendera ya Hezbollah

Hezbollah (kwa Kiarabu: حزب الله , ikimaanisha Chama cha Allah [Mungu]) ni chama cha Waislamu wa dhehebu la Shi'a nchini Lebanoni. Chama hiki kina tawi la masuala ya kiraia na pia tawi la kijeshi. Chama hiki kilianzishwa Februari 16, 1985 na Sheikh Ibrahim al-Amin. Kuanzishwa huku rasmi kulifuatia kutangazwa kwa manifesho ya Hezbollah. Moja ya matamko ndani ya manifesto hii ni tamko la vita dhidi ya Israeli kwa kuivamia na kuikalia nchi ya Lebanoni.

Kutokana na uvamizi huo, Hezbollah iliingia katika kipindi cha mapambano na Israeli hadi mwaka 2000 ambapo Israeli iliondoka katika maeneo iliyokuwa imeyakalia katika upande wa kusini mwa Lebanoni.

Kiongozi wa chama hiki hivi sasa ni Katibu wake mkuu, Sayyed Hassan Nasrallah.

Viungo vya nje