Konrad Lorenz : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: hu:Konrad Lorenz
d roboti Nyongeza: uk:Конрад Лоренц
Mstari 37: Mstari 37:
[[sv:Konrad Lorenz]]
[[sv:Konrad Lorenz]]
[[tr:Konrad Lorenz]]
[[tr:Konrad Lorenz]]
[[uk:Конрад Лоренц]]
[[zh:康拉德·洛伦兹]]
[[zh:康拉德·洛伦兹]]

Pitio la 20:18, 6 Juni 2008

Konrad Lorenz (7 Novemba, 190327 Februari, 1989) alikuwa mwanazuolojia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza tabia za wanyama mbalimbali. Mwaka wa 1973, pamoja na Karl von Frisch na Nikolaas Tinbergen alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.