Wilaya ya Nkhotakota : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 14: Mstari 14:
== Marejeo ==
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
{{Marejeo}}
[[Jamii:Wilaya za Malawi]]
[[Jamii:Wilaya za Malawi|Nkh]]

Pitio la 20:18, 12 Januari 2022

Mahali pa Wilaya ya Nkhotakota nchini Malawi
Mahali pa Wilaya ya Nkhotakota nchini Malawi

Nkhotakota ni wilaya katika Kanda ya Kati nchini Malawi . Makao makuu yako Nkhotakota . Wilaya ina eneo la km² 4,259 na ina wakazi 395,897. [1] Neno Nkhotakota linamaanisha "kona-kona" katika lugha ya Chichewa . Iko kando ya Ziwa Nyasa inayoitwa hapa Ziwa Malawi.

Vitengo na utawala

Kuna majimbo matano ya Bunge la Kitaifa huko Nkhotakota: [2]

  • Nkhotakota - Kati
  • Nkhotakota - Kaskazini
  • Nkhotakota - Kaskazini Mashariki
  • Nkhotakota - Kusini
  • Nkhotakota - Kusini Mashariki

Marejeo

  1. "2018 Population and Housing Census Main Report". Malawi National Statistical Office. Iliwekwa mnamo 25 December 2019.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Parliament of Malawi - Members of Parliament - Nkhotakota District