Kinyunga (chakula) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
New page: thumb|250px|Kinyunga '''Kinyunga''' ni mchanganyiko wa unga wa nafaka na kiowevu hasa maji unaotarajiwa kuokwa kwenye joto. Kuna njia mbalimbali za kukoroga k...
 
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
'''Kinyunga''' ni mchanganyiko wa unga wa [[nafaka]] na kiowevu hasa [[maji]] unaotarajiwa kuokwa kwenye joto.
'''Kinyunga''' ni mchanganyiko wa unga wa [[nafaka]] na kiowevu hasa [[maji]] unaotarajiwa kuokwa kwenye joto.

Kuna njia mbalimbali za kukoroga kinyunga ambacho ni chanzo cha [[mkate]], [[chapati]], [[keki]] au [[maandazi]]. Hata spaghetti zinaanza kama aina ya kinyunga lakini zinakaushwa kwanza na kupikwa baadaye.
Kuna njia mbalimbali za kukoroga kinyunga ambacho ni chanzo cha [[mkate]], [[chapati]], [[keki]] au [[maandazi]]. Hata [[spaghetti]] zinaanza kama aina ya kinyunga lakini zinakaushwa kwanza na kupikwa baadaye.

Kwa matumizi ya mkate wa kuoka kinyunga kinahitaji kukaa na kuchachuka. Hii inatokea kwa kuongeza dawa la chachu au kukiacha kinyunga kwa siku moja hivi na kusubiri chachu asilia iliyopo hewani.
Kwa matumizi ya mkate wa kuoka kinyunga kinahitaji kukaa na kuchachuka. Hii inatokea kwa kuongeza dawa la chachu au kukiacha kinyunga kwa siku moja hivi na kusubiri chachu asilia iliyopo hewani.
Mstari 8: Mstari 8:
Mikate bapa mara nyingi haihitaji chachu kama kinyunga kinatumiwa kwa umbo bapa na nyembamba sana kwa vile chapati au [[tortilla]] zinazoiva juu ya bati joto tu au kwenye sufuria.
Mikate bapa mara nyingi haihitaji chachu kama kinyunga kinatumiwa kwa umbo bapa na nyembamba sana kwa vile chapati au [[tortilla]] zinazoiva juu ya bati joto tu au kwenye sufuria.

[[Keki]] ina kinyunga kizito pamoja na unga, sukari, mafuta, matunda, viungo na maziwa badala ya maji.
[[Keki]] ina kinyunga kizito pamoja na unga, sukari, mafuta, matunda, viungo na maziwa badala ya maji. Upande wa keki kuna pia kinyunga ya majimaji ya kufanana na [[uji]] kinachohitajika kwa keki maalumu.

[[Category:chakula]]
[[Category:chakula]]

Pitio la 22:58, 20 Machi 2008

Kinyunga

Kinyunga ni mchanganyiko wa unga wa nafaka na kiowevu hasa maji unaotarajiwa kuokwa kwenye joto.

Kuna njia mbalimbali za kukoroga kinyunga ambacho ni chanzo cha mkate, chapati, keki au maandazi. Hata spaghetti zinaanza kama aina ya kinyunga lakini zinakaushwa kwanza na kupikwa baadaye.

Kwa matumizi ya mkate wa kuoka kinyunga kinahitaji kukaa na kuchachuka. Hii inatokea kwa kuongeza dawa la chachu au kukiacha kinyunga kwa siku moja hivi na kusubiri chachu asilia iliyopo hewani.

Mikate bapa mara nyingi haihitaji chachu kama kinyunga kinatumiwa kwa umbo bapa na nyembamba sana kwa vile chapati au tortilla zinazoiva juu ya bati joto tu au kwenye sufuria.

Keki ina kinyunga kizito pamoja na unga, sukari, mafuta, matunda, viungo na maziwa badala ya maji. Upande wa keki kuna pia kinyunga ya majimaji ya kufanana na uji kinachohitajika kwa keki maalumu.