Fernando Sancho : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
kuondoa "Watu Walio Hai" (ameshafariki!)
Mstari 17: Mstari 17:
[[Category:Waliofariki 1990]]
[[Category:Waliofariki 1990]]


[[en:Fernando Sancho]]
[[de:Fernando Sancho]]
[[de:Fernando Sancho]]
[[el:Φερνάντο Σάντσο]]
[[en:Fernando Sancho]]
[[es:Fernando Sancho]]
[[es:Fernando Sancho]]
[[it:Fernando Sancho]]
[[it:Fernando Sancho]]

Pitio la 22:28, 27 Februari 2008

Fernando Sancho.

Fernando Sancho (alizaliwa tar. 7 Januari ya mwaka wa 1916, akafariki dunia tar. 31 Julai ya mwaka wa 1990) alikuwa muigizaji wa filamu kutoka nchini Hispania. Sancho alizaliwa mjini Zaragoza, Aragón, Hispania, akaja kuiaga dunia mjini Madrid baada ya kufanyiwa upasuaji.

Fernando pia aliwahi kuonekana katika filamu za western, ambazo nyingi zilitaarishwa na mataarishaji Ignacio F. Iquino, vile vile kuna kipindi huonekana katika filamu alizocheza nyota Richard Harrison.

Ona Pia

Viungo vya Nje