Tofauti kati ya marekesbisho "Maunzilaini"

Jump to navigation Jump to search
135 bytes added ,  mwaka 1 uliopita
no edit summary
d (Kipala alihamisha ukurasa wa Programu tete hadi Software: "programu tete" haijulikani, twende na neno la Kiingereza linalotumiwa na wote)
No edit summary
'''Maunzilaini''' (pia: '''maunzi laini'''<ref>Maunzi laini au maunzilaini ni pendekezo la Kamusi ya [[KSK]]; Orodha za Microsoft na Kilinux hutumia "programu" [https://web.archive.org/web/20120806015358/http://www.kilinux.udsm.ac.tz/kiblog/documents/glossary/sw_TZ_Extended_glossary.xls klnX IT Extended Glossary May 2009]</ref>, kwa Kiingereza ''software'') ni jumla ya [[Programu ya kompyuta|programu]] na [[data]] zinazodhibiti utendaji wa kazi ya kompyuta. Ni tofauti na mashine ya kompyuta yenyewe inayotajwa kama [[maunzingumu]] au hardware.
'''Programu tete''' (kwa [[Kiingereza]]: ''software'') ni mkusanyo wa maelezo yasiyo tendaji yaliyotunzwa katika [[kumbukumbu]] ya [[tarakilishi]] ili kuweza kuchakata [[takwimu]] fulani pindi itakapohitajika kufanya hivyo.
 
==Marejeo==
Mfano wa programu tete ni Mifumo tendaji (Os) na [[Kamusi Kuu ya Kiswahili]].
{{marejeo}}
 
* Kiputuputi, Omari (2011). Kamusi Sanifu ya Kompyuta, Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Toleo la Kwanza 2011, ISBN 978 9987 531 127
Programu tete ni kinyume cha [[Vifaa (tarakilishi)|vifaa]].
 
Pia kuna nakala ngumu ambazo huzalishwa na vifaa vya [[TEHAMA]] kama vile Mashine za kunakili maandishi (''Photocopy Machine'') nakala hizo hutokana na nakala tete (''Softcopy'') ambazo aghalabu huundwa au hutunzwa kwenye [[tarakilishi]]
 
{{tech-stub}}

Urambazaji