Shajara : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
+James_McHenry._Diary,_September_18,_1787._Manuscript._James_McHenry_Papers,_Manuscript_Division,_Library_of_Congress_(63.02.00)_(Digital_ID_us0063_02p1).jpg #WPWP #WPWPTZ
Mstari 1: Mstari 1:
[[picha:James_McHenry._Diary,_September_18,_1787._Manuscript._James_McHenry_Papers,_Manuscript_Division,_Library_of_Congress_(63.02.00)_(Digital_ID_us0063_02p1).jpg|thumbnail|right|200px|Shajara ya kale mwaka 1787]]
'''Shajara''' (kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]]: ''diary'') ni [[kitabu]] maalumu ambamo [[mwandishi]] huandika matukio ya kila siku au ya [[muda]] fulani.
'''Shajara''' (kwa [[lugha]] ya [[Kiingereza]]: ''diary'') ni [[kitabu]] maalumu ambamo [[mwandishi]] huandika matukio ya kila siku au ya [[muda]] fulani.



Pitio la 12:27, 6 Agosti 2020

Shajara ya kale mwaka 1787

Shajara (kwa lugha ya Kiingereza: diary) ni kitabu maalumu ambamo mwandishi huandika matukio ya kila siku au ya muda fulani.

Shajara binafsi huenda ikawa na mawazo ya mwandishi, yaliyompata kwa siku na pia malengo yake kwa siku zijazo.

Kando ya shajara binafsi, pia kuna shajara za mashirika ambazo huonyesha matukio ya shirika hilo.

Wahasibu pia huwa na shajara ambamo huandika pesa walizotumia kununua vitu au zile ambazo zimeingia kwa shirika.