Ziwa Nikaragua : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created by translating the page "Lake Nicaragua"
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
{{Ziwa
| jina = Ziwa Nikaragua
| picha = Nicaragua relief location map.jpg
| maelezo_ya_picha =
| mahali =
| nchi = [[Nikaragua]]
| eneo = [[kilomita ya mraba|km<small><sup>2</sup></small>]] 41,600
| kina = [[m]] 45
| mito inayoingia = Río Tipitapa
| mito inayotoka = Mto San Juan
| kimo = m 31
| miji =
}}

[[Picha:Lake Nicaragua.jpg|thumb]]
[[Picha:Lake Nicaragua.jpg|thumb]]
'''Ziwa la Nicaragua''' ndilo [[ziwa]] kubwa katika Amerika ya Kati. Liko kusini mwa [[Nikaragua]], karibu na [[mpaka]] na [[Kosta Rika]] . Ziwa hili linapokea sehemu ya maji yake kutoka [[Ziwa Managua]] kupitia mto mdogo wa Tipitapa'''.'''
'''Ziwa la Nicaragua''' ndilo [[ziwa]] kubwa katika Amerika ya Kati. Liko kusini mwa [[Nikaragua]], karibu na [[mpaka]] na [[Kosta Rika]] . Ziwa hili linapokea sehemu ya maji yake kutoka [[Ziwa Managua]] kupitia mto mdogo wa Tipitapa'''.'''

Pitio la 19:34, 23 Oktoba 2019

Ziwa Nikaragua
Nchi zinazopakana Nikaragua
Eneo la maji km2 41,600
Kina cha chini m 45
Mito inayoingia Río Tipitapa
Mito inayotoka Mto San Juan
Kimo cha uso wa maji
juu ya UB
m 31

Ziwa la Nicaragua ndilo ziwa kubwa katika Amerika ya Kati. Liko kusini mwa Nikaragua, karibu na mpaka na Kosta Rika . Ziwa hili linapokea sehemu ya maji yake kutoka Ziwa Managua kupitia mto mdogo wa Tipitapa.

N dani ya Ziwa Nikaragua kuna visiwa vidogo zaidi ya 400, visiwa vitatu vikubwa na volkeno mbili.

Maji ya ziwa hutoka kupitia Mto San Juan ambao ni pia mpaka na Kosta Rika na kuelekea Bahari ya Karibi.