Joseph Butiku : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{mwanasiasa | jina =Joseph Butiku | nchi =Tanzania |Picha =Joseph Butiku.jpg | maelezo_ya_picha = | cheo 1 = | bunge la = | jimbo la uchaguzi = | chama = CCM...'
 
No edit summary
Mstari 2: Mstari 2:
| jina =Joseph Butiku
| jina =Joseph Butiku
| nchi =Tanzania
| nchi =Tanzania
|Picha =Joseph Butiku.jpg
|Picha =Joseph_Butiku.jpg
| maelezo_ya_picha =
| maelezo_ya_picha =
| cheo 1 =
| cheo 1 =

Pitio la 19:41, 27 Desemba 2018

Joseph Butiku
Chama CCM


Joseph Waryoba Butiku ( alizaliwa tar.) ni mkurugenzi mtendaji na rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere inayojulikana kama ''Mwalimu Nyerere Foundation'' na ni msaidizi wa utafiti binafsi na mjumbe binafsi Tanzania. [1]

Maisha Yake

Joseph Butiku alihudhulia mafunzo ya kijeshi Monduli na aliweza kumaliza kama Luteni na hatimaye aliweza kufikia cheo kikubwa cha Meja. Vilevile aliweza kuwa katibu Mkuu wa faragha na Mkuu wa Wafanyakazi chini ya Rais Alli Hassan Mwinyi. Alikuwa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM kanda ya mkoa wa Mara na baadae alikuwa Kamishna wa kikanda. [2]

Marejeo

  1. https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf
  2. https://www.juliusnyerere.org/uploads/nyerere_lifetime_legacy_joseph_butiku.pdf