Chuki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Chuki''' ni hali ya mtu au kikundi cha watu kutopenda kitu fulani. Mfano watu wema wengi wanauchukia uovu kwa hiyo wanachuki na uovu. {{mbegu}}'
 
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Chuki''' ni hali ya [[mtu]] au kikundi cha watu kutopenda [[kitu]] fulani. Mfano watu wema wengi wanauchukia uovu kwa hiyo wanachuki na uovu.
'''Chuki''', kinyume cha [[pendo]], ni hali ya [[mtu]] au kikundi cha watu kutopenda [[kitu]] fulani.
Mfano watu wema wengi hawapendi [[uovu]], kwa hiyo wana chuki na uovu.

Mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya [[uchumi]], ya [[siasa]], ya [[dini]], ya [[asili]] n.k.

Inaweza ikatokana na [[kijicho]] na kuishia katika mauaji hata ya halaiki, kama vile [[mauaji ya kimbari]].
{{mbegu}}
{{mbegu}}
[[Jamii:Saikolojia]]
[[Jamii:Maadili]]

Pitio la 13:29, 14 Oktoba 2018

Chuki, kinyume cha pendo, ni hali ya mtu au kikundi cha watu kutopenda kitu fulani.

Mfano watu wema wengi hawapendi uovu, kwa hiyo wana chuki na uovu.

Mara nyingine chuki inalenga watu kwa misingi mbalimbali: ya binafsi, ya uchumi, ya siasa, ya dini, ya asili n.k.

Inaweza ikatokana na kijicho na kuishia katika mauaji hata ya halaiki, kama vile mauaji ya kimbari.