Kaizari Macrinus : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaisari --> Kaizari
d Kaisari Macrinus umehamishwa hapa Kaizari Macrinus: Maandishi rasmi kulingana na kamusi ya TUKI
(Hakuna tofauti)

Pitio la 19:20, 6 Januari 2008

Shaba inayoonyesha Kaizari Macrinus

Marcus Opellius Macrinus (takriban 165 – Juni 218) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 11 Aprili, 217 hadi tarehe 8 Juni, 218. Alimfuata Caracalla. Kabla Macrinus hajafa, mpwa wa Caracalla, Elagabalus alitangazwa kuwa Kaizari tarehe 18 Mei. Alimshinda Macrinus katika pigano la vita tarehe 8 Juni, na Macrinus aliuawa kisheria baadaye kidogo.