Tofauti kati ya marekesbisho "Konklevu"

Jump to navigation Jump to search
143 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
(Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Konklevu''' (kutoka Kilatini "cum clave", yaani "kwa ufunguo", kupitia Kiingereza "conclave") ni mkutano maalumu ya makardinali wot...')
 
'''Konklevu''' (kutoka [[Kilatini]] "cum clave", yaani "kwa ufunguo", kupitia [[Kiingereza]] "conclave") ni [[mkutano]] maalumu ya [[kardinali|makardinali]] wote wenye [[umri]] chini ya miaka 80 unaofanyika ili kumchagua [[askofu]] wa [[Roma]], maarufu kama [[Papa]] wa [[Kanisa Katoliki]].
 
Lengo la kujifungia ndani tangu [[karne za kati]] ni kuzuia makardinali wasiingiliwe na [[watu]] wa nje, hasa [[watawala]], ambao wanaweza kuwa na malengo tofauti na yale ya kiroho.
 
Kwa sasa kuna taratibu nyingi zilizopangwa kinaganaga, ambazo mojawapo ni kwamba wapigakura wasizidi 120.
 
== Marejeo ==

Urambazaji