Sakuramachi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q313870 (translate me)
+picha
Mstari 1: Mstari 1:
[[Picha:Emperor_Sakuramachi.jpg|right|thumb|Mchoro wa Sakuramachi]]
'''Sakuramachi''' ([[8 Februari]] [[1720]] – [[28 Mei]] [[1750]]) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (''[[Tenno]]'') wa [[Japani]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Teruhito''. Tarehe [[13 Aprili]] [[1735]] alimfuata baba yake, [[Nakamikado]], na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe [[9 Juni]] [[1747]]. Aliyemfuata ni mwana wake, [[Momozono]].

Pitio la 09:14, 18 Agosti 2017

Mchoro wa Sakuramachi

Sakuramachi (8 Februari 172028 Mei 1750) alikuwa mfalme mkuu wa 115 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Teruhito. Tarehe 13 Aprili 1735 alimfuata baba yake, Nakamikado, na kuwa mfalme hadi kujiuzulu tarehe 9 Juni 1747. Aliyemfuata ni mwana wake, Momozono.

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sakuramachi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.