Tofauti kati ya marekesbisho "Kijani"

Jump to navigation Jump to search
105 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
No edit summary
No edit summary
 
'''Kijani''' ni mojawapo ya [[rangi]] zitumikazo kwa [[kazi]] mbalimbali kama vile [[kuchora]] [[michoro]] mbalimbali na kazi nyinginezo.
[[File:Leavessnipedale.jpg|thumb|right|Neno kijani lina maana sawa na rangi ya mimea mingi Ulimwenguni']]
 
Kwa kazi ya kuchora michoro unaweza kutumia rangi hii katika kuchora vitu mbalimbali kama vile [[wanyama]], [[wadudu]], na hasa [[mimea]] na kutumika katika kazi za kurembeshea
vitu kama vile [[majengo]] ya [[nyumba]], [[shule]], [[ofisi]] na kadhalika.

Urambazaji