Münster

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Münster.

Münster ni mji mkuu wa kihistoria wa Westphalia na kwa sasa unamilikiwa na jimbo la Rhine Kaskazini-Westfalia, Ujerumani. Mji una wakazi wapatao 270,000, pia mji una uwanja wa ndege na chuo kikuu. Mji wa Münster ulikuwa mji wenye nguvu sana wakati ule wa Zama za Kati na Zama za Mwamko. Amani ya Westphalia ilisainiwa hapa mjini Münster.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Münster kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.